Kwenye Huduma

Kwenye Huduma

Kwenye Huduma

Kama Umeitwa Na Mungu “KUWA MTUMISHI WAKE” Kuna Mambo Ya Kuzingatia Hapa:
Unahitaji Muda Mwingi Na Mungu Ili Akusaidie Kujua Namna Gani Utatumika Katika Nafasi Aliyokupa,
Pili Ili Akupe Ujumbe Wake Anaotaka Upeleke Toka Kwake Yeye [Boss Wako] Mungu Aliye Hai,
Usifanye Haraka Kwenda Kuwatumikia Watu, “WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU KWANZA NA SI WA WATU”
Na Hata kama Una Huruma Na Upendo Wa Kutaka Kuwasaidia Watu, Kama Mungu HAJAKUPA KITU CHA ZIADA CHA KUWAKWAMUA Hakika UTAKWAMA KWA AKILI ZAKO KAMA ILIVYOKUWA KWA MUSA Na Akaishia Kupoteza Miaka 40 “NJE YA WITO” Kwa Sababu Ya Kutaka KUTUMIKIA WATU [KWA UPENDO NA UKARIMU] Badala Ya Maelekezo Ya Mungu ALIYEWEKA UTUMISHI KWAKE!
Muda Wako Mwingi Utumie Na Mungu,
Halafu Ukishaiva Utapewa Muda Mwingi Na Watu Kiasi Kwamba UTAWAKINAI NA KUWACHUKIA KWA NAMNA WALIVYOKUWA “MZIGO” KWAKO, [WANAVYOBANA MUDA WAKO, UHURU WAKO, MUDA NA FAMILIA YAKO Na Zaidi Muda na Mungu Wako] Kuliko Sasa Unatamani KUWATUMIKIA!
#HEKIMA
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: