Kiongozi

Kwenye Siasa Ni Kweli Kwamba “KIONGOZI NI MTUMISHI WA WATU” Kwa Maana Wao Ndio WALIOMPA HIYO KAZI Ila Kwenye UFALME WA MUNGU, “MTUMISHI WA KWELI WA MUNGU ALIYEITWA NA MUNGU KUWA MTUMISHI WAKE” Si Mtumisi Wa Watu Bali “MTUMISHI WA MUNGU” Japo Anafanya KAZI YA MUNGU KATIKATI YA WATU…. Kosa Kubwa Ni Kuchanganya Kati Ya UTUMISHI WAKO NA WITO WAKO… Utumishi Wako Ni Kwa Mungu Na Wito Wako Ni Kugusa Maisha Ya Watu!
KAMA MTUMISHI WA MUNGU, UNAWAJIBIKA NA UTADUMU KWENYE KAZI KWA UTENDAJI NA UWAJIBIKAJI WAKO KWENYE MAELEKEZO YA “BOSS WAKO” Na Si Bidii Yako Kwenye WITO WAKO!
Siku Ile Atawaita “WATUMISHI WALIOJUA HILI NA KULITENDA” Na Kuwaambia, “KARIBUNI WATUMISHI WEMA NA WAAMINIFU INGIENI RAHANI KWA BWANA WENU” Halafu Wale WALIOTUMIKIA WATU Atawaambia, “ONDOKENI KWANGU MAANA SIKUWAJUA NINYI” Na Hapo Ndipo Kutakapokuwa Na KILIO NA KUSAGA MENO!
#MWENYE_MASIKIO_NA_ASIKIE
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: