Aina Mbili za Wakristo

  • Wale Waliokuja Kwa Yesu, Wakaokolewa Kisha Wakakubali Kukaa Kwenye Njia Nyembamba Na Iliyosongwa (Njia Ya Utakatifu) Wamekubali Wabanwe, Wakose Uhuru Wao Ulio Kinyume Na Mungu Na Wameamua Kujitoa Jumla Na Kumpa Mungu Maisha Yao Na Kuishi Sawa Na Neno La Mungu Na Taratiiibu Wanaingia Mbinguni [Uzimani].

NA

  • Wale Ambao Walikuja Kwa Yesu, Wakaokolewa Lakini Wakatembea Kwenye Njia Nyembamba Na Iliyosongwa (Njia Ya Utakatifu), Lakini Walipoona Wanabanwa, Wanakosa Uhuru Wa Kuishi Maisha Yao Ya Kale Wakaamua KUCHEPUKA Na Kuingia NJIA PANA (Maisha Ya Kutenda Dhambi makusudi na Kwa Utashi Huku Ukisingizia shetani, mwili na dunia) Na Kwa Spidi Kubwa Wanaishia Jehanamu (Upotevuni)!

Eti Kwani We Uko Wapi??
Usinijibu, Ujibu Moyo Wako, Mjibu Mungu Anayekuona Hukoko Uliko.
#BADILIKA_MUDA_UNAO_JIPONYE_NAFSI_YAKO
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: