KWA WAOAJI NA WAOLEWAJI:

Wanandoa

“Usipojua Aina Ya Maisha Unayoyataka Kesho Kila Mwanaume/ Mwanamke Atakayekuja Kwako Atakufaa Kuolewa/ Kumuoa”

1.Aina Ya Maisha Unayotaka Kesho, Uliyowekewa NDANI YAKO Na Mungu [Picha Ya Ndani] Yatasababisha Uwe SELECTIVE, Hautaokota Kila Handsome Au Beautiful Lady Atakayetokea Mbele Yako.

2.Aina Ya Maisha Unayoyataka Kesho, Uliyowekewa NDANI YAKO Na Mungu [Picha Ya Ndani] Yatasababisha Umjue Mme/ Mke Toka Kati Ya Wasichana/ Wavulana Uliokutana Nao [Walioko Maishani Mwako] Kama Marafiki Au Washirika

3.Aina Ya Maisha Unayoyataka Kesho, Uliyowekewa NDANI YAKO Na Mungu [Picha Ya Ndani] Yatasababisha WEWE MWENYEWE UJENGE MFUMO FULANI WA MAISHA, TABIA INAYOKUPELEKA “UNAKOJIONA KESHO” Hivyo Itakusaidia Kumpima Kila Mwanaume/ Mwanamke Anayekuja Kwako Kwa Kigezo Cha “NAKUPENDA” Ili Kukupunguzia FOLENI ISIYOKUWA NA LAZIMA
“WEWE UTAKUWA TASWIRA YA AINA YA MWANAUME/ MWANAMKE UNAYEMTAKA”

4.Aina Ya Maisha Unayoyataka Kesho, Uliyowekewa NDANI YAKO Na Mungu [Picha Ya Ndani] Yatasababisha UMPATE Mwanamke/ Mwanaume Ambaye Ni Kweli HATAKUWA PERFECT Lakini Atakuwa Na Uwezo Wa KUENDANA NA WEWE Huku Akibadilika Taratibu Na Mkisikilizana

Sijawahi Kutumia Muda Wangu Kwenye Maombi Kumwomba Mungu Anipe Mke, Na Ninajua Siwezi Kukosea; VISION Aliyonipa Mungu INAELEZA WAZIWAZI Ni Aina Gani Ya Mke Napaswa Kuwa Naye.
NIMEIELEWA VISION, NA KADRI INAVYOZIDI KUPAMBANULIWA ZAIDI NA ROHO MTAKATIFU, NAONA KWA UWAZI ZAIDI!

Kazi Kwako Na Wewe,
Ila Usiache Kuomba, Usiniige Mimi [Imani Na Kiwango Cha Hekima Ya Mungu Ndani Yangu] Si Sawa Na Chako!
Yesu Alisema “KUOA NA KUOLEWA HAVITAKOMA” Mpaka Anarudi, “WATU WATAKUWA WAKIOA NA KUOLEWA” Hivyo Ni Muhimu Sana Nikusaidie Ili Hata Kama Yesu Atarudi Ukiwa Madhabahuni, Walau Usiwe Umekosea Kupata Mwenzi Sahihi.

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: