UTAMBULISHO WA YESU

Mwana wa Ibrahimu

**MWANA WA IBRAHIMU**

“Kitabu Cha Ukoo Wa Yesu Kristo, MWANA WA DAUDI, MWANA WA IBRAHIMU” (Mathayo 1:1)

Ukisoma Andiko Hilo, Biblia Haimwiti Yesu “MJUKUU WA DAUDI” Ama “MJUKUU WA IBRAHIMU” Bali “MWANA WA DAUDI NA PIA MWANA WA IBRAHIMU”

2.MWANA WA IBRAHIMU

Kibiblia Yesu Kristo Anaitwa “MWANA WA IBRAHIMU” Akiwa Amewekwa “NGAZI MOJA NA ISAKA” Yaani Ikiwa Na Maana Ni “MRITHI HALALI WA KILA ALICHOKUWA NACHO IBRAHIMU KIROHO, KIMAISHA NA KIUCHUMI”
Na Ndiyo Maana Wagalatia 3:7-9,13-14, 29 Inaeleza Wazi Kwamba “SISI BAADA YA KUOKOKA KWAA KUMWAMINI YESU” Na Kufanyika “WA-KRISTO [MALI YA KRISTO]” Tayari Tumefanyika Kuwa “WANA WA IBRAHIMU NA WARITHI SAWA NA KILA AHADI ALIYOAHIDIWA NA KUIPATA IBRAHIMU”
Yesu Anaitwa “MWANA WA IBRAHIMU” Ili Kiroho Awe Na HAKI NA UWEZO KISHERIA Wa KUPITISHA NA KUENDELEZA MKONDO WA MAISHA YA BARAKA NA USTAWI ALIYOKUWA NAYO BABA WA IMANI IBRAHIMU… Ukiwa NDANI YA YESU (Umeokoka) Tayari UMEUNGWA NA MKONDO WA KILE KILICHOPITISHWA NA MUNGU KWA IBRAHIMU.
Yesu Hakuitwa “MWANA WA IBRAHIMU” Kwa Vile Amepita Kwa Mama Wa Kiebrania Bali Ameitwa Hivyo Kama “LANGO [Njia Katika Ulimwengu Wa Roho]” La Kupitisha KILA BARAKA YA MUNGU ILIYOKUSUDIWA JUU YA IBRAHIMU NA WANAE!
Haleluiyah, MIMI NI MZALIWA NA MWANA WA IBRAHIMU KUPITIA KRISTO YESU; BARAKA ZA IBRAHIMU NI ZANGU!
Huyu Ni Yesu Kristo, Mwana Wa Ibrahimu!
#Mfungo_Wa_Mathayo
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: