UTAMBULISHO WA YESU

Mwana wa Daudi

**MWANA WA DAUDI**

“Kitabu Cha Ukoo Wa Yesu Kristo, MWANA WA DAUDI, MWANA WA IBRAHIMU” (Mathayo 1:1)
Hapa Tunapata Majina Mawili Ya UBINI [NASABA] YA BWANA YESU:

1.MWANA WA DAUDI

Hii Inatokana Na “Baba Yake Wa Kufikia” Yusufu Kuwa Mtu Wa Kabila La Yuda, Kabila Ambalo Mungu Alilitenga Kati Ya Makabila 12 Ya Taifa la Israeli Ili Kupitisha “KITU CHA UFALME KWAO” Na Alisema Wazi Kupitia Kinywa Cha “Baba Wa Taifa La Israel- Yakobo” Kwamba “FIMBO YA UFALME HAITAONDOKA YUDA” (Mwanzo 49:10).
Na Mzee Yakobo [Mzee Israel] Akaenda Mbali Zaidi “KWA JICHO LA KINABII” Akatabiri kwamba YESU LAZIMA ATOKEE KABILA YA YUDA”
Naye Alisema, “FIMBO YA ENZI HAITAONDOKA KATIKA YUDA WALA MFANYA SHERIA KATI YA MIGUU YAKE, HATA ATAKAPOKUJA AMBAYE MATAIFA WATAMTII [YESU KRISTO]” (Mwanzo 49:10).
Lakini Pia “MUNGU ALIWEKA AHADI KWA DAUDI YA KWAMBA UFALME HAUTAONDOKA KWAKE” Lakini Pia “DAUDI NI MFALME MWENYE HADHI NA HESHIMA KATIKA ISRAELI KULIKO WAFALME WOTE WALIOWAHI KUWEPO KATIKA TAIFA HILO” Hivyo Kwa Yesu KUTABIRIWA TANGU MWANZO KWAMBA “ATAMILKI JUU YA KITI CHA ENZI CHA DAUDI HATA MILELE” (Isaya 9:7), Ile Kwamba “NI MTAWALA MILELE” Na “MWANA WA DAUDI” Inathibitisha Kuwa, “KIFO HAKIWEZI KUMALIZA MSIMU WAKE WA UFALME” Lakini Atakuwa Mfalme MWENYE HESHIMA NA KUAMINIWA NA KUPENDWA NA MUNGU KAMA ILIVYOKUWA KWA DAUDI!
Kwenye Agano Jipya Tunamwona Kipofu Aitwaye BALTIMAYO Ambaye ALIELEWA SIRI YA JINA HILI LA YESU Na Kulitumia Kumwita Na Mwisho Wa Siku AKAPATA UPONYAJI WAKE!
Baltimayo Kwa KUJUA NGUVU YA JINA HILI “MWANA WA DAUDI” Alifahamu Kuwa “YESU KRISTO NI MFALME ANAYEWEZA KUTAWALA HATA JUU YA UPOFU WAKE NA HALI NGUMU ALIYOKUWA NAYO” Na Mwisho Wa Siku “MWANA WA DAUDI” Alimtendea Kitu Cha Ajabu!
Yesu Kristo Ni “MWANA WA DAUDI” Ikiwa Na Maana “NI MFALME ALIYERITHI URITHI WA KITI CHA DAUDI BABAYE NA ANATAWALA MILELE KAMA MFALME WA KILA MFALME MWINGINE YEYOTE”
Baltimayo Alipomwita Mfalme, “MWANA WA DAUDI” Alimjibu Na Kukomesha Ufalme Wa Upofu Maishani Mwake!
MWITE YESU KRISTO “MWANA WA DAUDI” KWA IMANI KAMA BALTIMAYO NA MIUJIZA NA MAAJABU VITATOKEA!
#Mfungo_Wa_Mathayo
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: