INJILI YA YESU

Kama Kweli Wewe Ni Rafiki Yangu, Unathamini Kile Mungu Anafanya Na Kutenda Kupitia Maisha Yangu, Lakini Pia Una Kiu Ya Kuona Roho Za Wengi Zinakuja Kwa Yesu, Na Ufalme Wa Mungu Unajengwa Kwenye Taifa La Tanzania, Naomba Ushirikiane Nami Pamoja Na Timu Nitakayoiongoza Ya WATENDAKAZI 50 Mwezi Ujao April 16 Hadi 21, Mkoani Tabora KUHUBIRI INJILI KWENYE MIKUTANO WALAU MITATU, KUFANYA USHUHUDIAJI WA NYUMBA KWA NYUMBA, HUDUMA YA SINEMA, MAOMBI YA KUUONDOA UFALME WA SHETANI NA KUUJENGA UFALME WA MUNGU NA KUYAIMARISHA MAKANISA MKOANI HUMO.
Naomba Utafakari UMUHIMU WA ROHO MOJA NA THAMANI YAKE IKIOKOKA NA KUJA KWA YESU, NA HASARA YAKE IKIPOTEA MILELE JEHANAMU.
NAOMBA UTUME SADAKA YAKO, TUNAHITAJI MILIONI NANE (MILIONI 8) KUWEZA KUTIMIZA KAZI HII.
Hiyo Ni Gharama Ya Usafiri Wa Timu Toka Dar Hadi Tabora Na Kurudi Tena Dar, Gharama Ya Chakula Kwa Siku Zote 6, Gharama Ya Vyombo Na Vifaa Vya Kufanyia Kazi Hii Na Gharama Zake Za Usafirishaji, Na Mahitaji Mengine Yote Yahusuyo Utume Huu.
MUDA UMEKWENDA SANA NA TUNATAMANI WATANZANIA WENZETU WAJE KWA YESU, MAANA YESU YU KARIBU, YU AJA!
PANDA SADAKA YAKO YA IMANI, MWAMINI NA KUMWAMBIA MUNGU KWAMBA SADAKA YAKO HIYO YA IMANI IWE SABABU YA WOKOVU WA WAZAZI, NDUGU, AU WALE UWAPENDAO.
Tuma Sadaka Yako Kwa:
Mhazini, Eng. Martha Shitindi
M-PESA: 0754 711 519
Asante Kwa Kuipenda Kazi Ya Msalaba,
Asante Kwa Kuitetea Injili,
Asante Kwa Kuujenga Ufalme Wa Mungu Tanzania.
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: