DAKA HII

Shetani Hapigani Vita Nje Ya Kanisa, Anapigania Kanisani:

https://i0.wp.com/cache.desktopnexus.com/thumbnails/785914-bigthumbnail.jpg

Mbwa Mwitu ndani ya Ngozi ya Kondoo

1.Hawashambulii Kondoo Bali Anavaa Ngozi Ya Kondoo Na Kujichanganya Na Kondoo [Ingawa Ndani Ni Mbwa Mwitu].
“Kitakachokuokoa Ni KUJUA SANA TABIA ZA KONDOO Ili Hata Kama Atavaa NGOZI, Tabia Yake Kama MBWA MWITU Itabaki Kuwa Halisi [MATUNDA NA CHARACTER].”

2.Hang’oi NGANO Shambani Bali Anapanda MAGUGU Yanayofanana Sana Na Ngano “KATIKA HATUA ZA MWANZO” Lakini Ukifika Wakati NGANO ZIMEZAA Unaweza Kwa Urahisi Kutofautisha NGANO NA GUGU [MATUNDA NA CHARACTER].

3.Hashindani Moja Kwa Moja Na MALAIKA WA NURU Bali Naye ANAJIFANYA KAMA MALAIKA WA NURU… Ukijua Sifa Na Tabia Za Malaika Wa Nuru Haitakupa Wakati Mgumu Kumjua MALAIKA WA GIZA [MATUNDA NA CHARACTER].

Ni Ya Muhimu Sana Kanisa.
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: