IMANI YA SAMSON

https://i1.wp.com/static.comicvine.com/uploads/original/0/9541/1165692-samson.gif

Samson

Aliamini Mungu Anaweza Kumpa Nguvu Ya Kuangusha Nguzo Na Kujilipiza Kisasi Kwa kufa Na Wafilisti Waliomtoboa Macho, Na Akaomba Hilo Na Mungu Akampa.

LAKINI

Angeweza Kuamua Kumwomba Mungu Amrudishie Macho Na Pia Na Nguvu Ampe Na Awatie Na Wafilisti Mikononi Mwake Na Hakika Mungu Huyohuyo Aliyempa Nguvu Na Kujitoa Mhanga Kufa Na Wafilisti Angefanya Hilo Pia.

KILICHOSABABISHA HAYA

Haya Yalikuwa Maombi Ya Mtu Aliyekata Tamaa, Asiyeona Thamani Tena Ya Maisha Yake, Aliyekwishajihukumu Na Kujiona Hafai Tena Mbele Za Mungu.

CHA KUFANYA
Unapokuwa Katika Hali Kama Hizo, Usiwe Na Haraka Kuomba, Tuliza Moyo Wako Kwanza, jikusanye.
Jikumbushe Ahadi Za Mungu, Jikumbushe Shuhuda Za Matendo Yake Makuu Kwenye Biblia Na Kwenye Maisha Ya Watu Unaowafahamu.
IMANI YAKO IKISHACHAJI, NA UKATULIA, NDIPO UOMBE!

MSTARI WA KUZINGATIA
“Mwaomba Wala Hampati, Kwakuwa Mwaomba Vibaya…” (Yakobo 4:3).

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
3 comments on “IMANI YA SAMSON
  1. yesunibwana says:

    Reblogged this on yesunibwana and commented:

    “Mwaomba Wala Hampati, Kwakuwa Mwaomba Vibaya…” (Yakobo 4:3). #Mwisho wa Mwezi March Mshukuru Mungu, kwa kukufanya mzima mpaka sasa

  2. JOHN MATIKU says:

    Mungu akubariki mtumishi kwa masomo mazuri. Mungu akuinue zaidi katika huduma hii. Mafundisho yako yananibariki sana.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: