KWA WALIOAJIRIWA TU

https://i1.wp.com/cdn-5.lifehack.org/wp-content/files/2013/01/How-To-Break-Free-from-Being-the-Go-To-Guy-at-the-Office.jpg

Walioajiliwa


1.Hata Kama Unalipwa Mshahara Mkubwa Kiasi Gani Usije Sahau, “Unacholipwa Hakilingani Na Unachoingiza”

2.Unatumika Ndani Ya Ndoto Ya Mtu Mmoja, Aliyejipambanua Na Kuelewa NDOTO YAKE.
“Mungu Amekuumba Ukiwa Na Ndoto Maalumu, Si Mapenzi Ya Mungu Ufie Au Kuzeekea Kwenye Ndoto Ya Mwingine”

3.Kazi Yako Ya Ajira Haiwezi Kukupa Kiasi Cha Kutosha Kutimiza Mahitaji Yako Na Watu Wako Na Kukupa Akiba Ya Kutosha Kugusa Maisha Ya Wengine Na Kuhusika Kikamilifu Kuujenga Ufalme Wa Mungu.
“Jipime Wewe Mwajiriwa Na Mwajiri Wako Kama Mko Kanisa moja, Halafu Angalia Impact Yake Na Yako”

4.Unaitwa Mfanyakazi Au Mwajiriwa Lakini Kiukweli Jina Lako Halisi Ni MTUMWA… Unapangiwa Muda Wa Kuamka, Muda Wa Kuingia Kazini, Muda Wa Kula, Muda Wa Kutoka, Unapangiwa Shughuli Za Kufanya, Mshahara Wa Kulipwa Nakadhalika… Hauna Maamuzi Ya Mwisho Binafsi, Mpaka Uombe Ruhusa Ya Mwajiri.
“Hata Yakobo Alikuwa Mtumwa Kwa Labani Lakini Alikuwa Amejipangia Muda Wa Kutoka Utumwani”

5.Mungu Amekupa Neema Kuwa Kwenye Hiyo Ajira Ili Liwe Darasa Na Kukuandaa Kuwa Mmilki Na Msimamizi Wa Yako, Usisubiri Uzeeke Na Kustaafu Ukiwa Na Miaka 60 Ndipo Ukatendee Kazi Maono Yako; Hiyo Miaka 60 Ikukute Umejijenga Na Kurithisha Uliyoyaandaa Na Kujenga Kwa Wanao, Si Muda Wa Kuanza Moja.
Ifuate Na Kuitendea Kazi Ndoto Yako Ukiwa Na Akili Iliyochangamka, Afya Na Nguvu Kamili”

6.Mungu Amekuweka Hapo Ili Utengeneze CV Kwa Ajili Ya Kesho Yako Ukiwa Mwajiri, Mtengeneza Fursa, Mleta Tumaini Kwa Wengine.
“Daudi Angetosheka Na Kuua Dubu Na Simba Machungani Akaikacha Ndoto Ya Kuwa Mfalme Wa Israeli, Angeishia Kuwa MUUA SIMBA NA DUBU MAARUFU Lakini Asingepata Nafasi Ya Kutumikia NDOTO YA MUNGU KWAKE”

Kama Unatambua Kwamba Wewe Ni Unique, Una Kusudi Maalumu Maishani Mwako, Huu Ni Ujumbe Wako!
UMEBEBA MATARAJIO YA WENGI; UMEBEBA AJIRA ZA WENGINE”
#UKWELI_UNAUMA_LAKINI_UPOKEE
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: