KWA WAOAJI NA WAOLEWAJI

https://i2.wp.com/wemagazineforwomen.com/wp-content/uploads/young-couple-african-american.jpg“Ukienda Kwa Mchungaji Wako [Kiongozi Wako Wa Kiroho] Ambaye Unajua Ya Kwamba ANATEMBEA NA MUNGU Na Amekuwa Kwenye Ndoa Kwa Miaka Mingi Au Kwa Wazazi Wako [Waliokuzaa] Wakakwambia SUBIRI WALAU MIEZI 6 MINGINE Au MWAKA MMOJA MBELE, Usifikiri HAWAKUTAKII MEMA, Bali KUNA KITU WAMEGUNDUA CHENYE WALAKINI Na WANATAKA UPATE MUDA NA WEWE UJIONEE UKWELI Au USUBIRI ILI KIONEKANE WAZI… Usifanye Haraka Kuingia Huko Kama WAMEKUPA ONYO LA NAMNA HII; Wakikwambia Miezi 6 Wewe Fanya 9 Kabisa, Wakikwambia Subiri Miezi 9 Wewe Fanya MWAKA MMOJA Kabisa… NI NGUMU KUNIELEWA SASA, Lakini UKIPUUZA HILI Kuna SIKU Utajua Ya Kwamba ULIKOSEA”
**KWA MASHAURI MENGI FANYA VITA**
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: