MAMA MKWE

“MAMA MKWE NAYE ANA MCHANGO WAKE KWENYE NDOA YAKO,
MCHUKULIE POA, ITAKULA KWAKO”

Mke Mwenye Hekima ANAULINDA UHUSIANO NA MAMA MKWE [Hii Ni Zawadi Ya Pekee Kwa Mmeo], Moyo Wa mtoto Wa Kiume Humpenda Na Kumjali Mama, Usisahau Hii Itakusaidia, NI SILAHA MUHIMU YA VITA!
SOMA KITABU CHA RUTHU Utaona Ruthu Alivyocheza Kete Zake Vizuri Na Kuuteka Moyo Wa Mama Mkwe.
“Mke Mwenye Busara Huhakikisha Anauteka Moyo Wa Mmewe Kwa Kuwa Kipenzi Cha Mama Mkwe”
SIKIO LA KUFA LISIKIE DAWA KWA JINA LA YESU
MWALIMU IN REVIEW
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.co

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: