MWANZA KIHUDUMA:

Mwanza-Tour

Kesho Alfajiri Nitaelekea Mwanza Kwenye Huduma Ya Semina Ya Neno La Mungu Kwenye Kanisa La HHC ALIVE MKOLANI.
Nitaanza Huduma Huko Tarehe 14/03 Hadi 23/03 [Siku 10].
Naamini Utalitaja Jina Langu Mbele Za Mungu,
Lakini Pia Ukiweza Kunipa Kikombe Cha Maji Njiani Na Wakati Wa Huduma Nzima Nitashukuru Na Mungu Atakubariki.
“Na Mtu Yeyote Atakayemnywesha Mmoja Wa Wadogo Hawa Ngaa [Walau] Kikombe Cha Maji Ya Baridi, Kwakuwa Ni Mwanafunzi , Amin, Nawaambia, HAITAMPOTEA KAMWE THAWABU YAKE” (Mathayo 10:42).
Mwl D.C.K
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: