Nawaza kwa Imani

https://scontent-b-cdg.xx.fbcdn.net/hphotos-prn2/t1/1377992_586049221431250_79046613_n.jpg

Mwl Dickson

Kama Ningepata Marafiki 50 Tu Waliookoka Kati Ya Marafiki 4900 Kasoro Nilionao, Wenye Uchungu Na Roho Za Watu Na Tukatengeneza CLUB YA WANA WA UFALME Kisha Tukawa Tunakutana, Tunapeana Mikakati, Mbinu, Maarifa, Na Kuomba Pamoja, Kisha Tunapeana Jukumu La Kuhakikisha Kila Mmoja Wetu Kati Ya Hao 50 ANAMLETA MTU MMOJA KWA YESU Halafu Tunakutana Weekend Tukiwa Na Wale Watu TUNAWAFUNDISHA MASOMO YA AWALI YA WOKOVU NA KUIKULIA IMANI, Tunawanunulia Biblia [Wenye Uwezo Wanajinunulia], Tunagawana Na KUWA NAO KARIBU Kwa KUWAPIGIA SIMU, Kuomba Nao Kwenye Changamoto Zao Nakadhalika, HAKIKA TUNGEPIGA KAZI SANA.
Ndani Ya Mwezi Mmoja Tungekuwa TUMEVUNA ROHO 200 [50 X Wiki 4], Kwa Miezi 2 Tunakuwa TUMEVUNA 400, Miezi Mitatu 600, Na Miezi Minne 800 Halafu Tunatafuta Kituo, Tunakuwa Na RETREAT Walau Weekend Mojawapo, Wanakaa Darasani, Na Kupata Vitu Na Kuwa Nondo, Mwezi Wa 5 Walau 400 Kati Yao [Hasa Wale Wa Mwanzo] Na Sisi 50 [Waanzilishi] TUNAINGIA MTAANI KUVUNA ROHO MOJA MOJA Kwa Wiki, Mwendo Unakuwa Huu Na Kuendelea, NAAMINI BAADA YA MWAKA Tutakuwa TUMEIPINDUA Dar Na Kuipeleka Hii Shule Mikoani Halafu Baada Ya Miaka 3, TUNAKUTANA “KITAIFA” Watu WALIO KWENYE NETWORK HIYO; MAELFU KWA MAELFU!!
Hakika HATUJAFANYA KAZI, Tumelalal WATAKATIFU WA MUNGU.
Kuna ALIYE DAR Aliyeelewa MAONO HAYA Na Angependa Kuwa Sehemu Ya LEGACY HII??
Nawataka WATENDA KAZI WALAU 50 Tu Ambao Wako TAYARI Kujitoa MWILI NA ROHO Kufanya Kitu Kwa Ajili Ya UFALME WA MUNGU.
Naamini NIMEWEZA KU-IMAGINE HIKI KITU, Hakika KINAFANYIKA NA KINAWEZA KUWA HALISI!!
Nani Anaungana Na Mimi?? Nani Anasubiri Aone Kwanza Kama Tomaso Halafu Ndipo Aamini Akiona TUMEWEZA??
SIJAOKOKA ILI NI-RELAX, WALA HUJAOKOKA ILI U-RELAX,
Kila Siku Watu WANAKUFA BILA YESU, Na WANAKWENDA JEHANAMU, Tunaweza Kufanya Kitu KUPUNGUZA IDADI HIYO!!
Uko Tayari Kuungana Nami Kwenye Hili??
NIAMBIE; 0655 466 675, 0753 466 675.
Happy Maruchu, Precious Precy Hein, Alice Mwiru, Amani Mkola, Amani Musomba, Challi Francis Jr., Francis Langula, Francisco Kilangazi, Martha Shitindi, Crispin Adam, Adam Rassa, Gabriel Masinga, Gama Daniel Mwasumbi, Carlos Ricky Wilson Kirimbai, Alick Kayange, Prosper Alfred Mwakitalima, Matthew Sasali, Helen Masalu Dede, Lizbeth de Jésus, Wondrous Wonders, Ditrich Luhaga, Jamhuri Thadei, Ipyana Peter Kibona, Joel Nanauka, Joel Msella, Fredrick Mulinda, Mot Mas, Gee Maarufu, Agatha Mwangaba, Riston Zela Jr., Boaz Ackimu, John KagarukiMarylyne John Mwasiwelwa, Sadick John, Mecktilder Mchomvu, Edith Ngarashi, Mary Kibodya Mhayaya, Annastazia Rugaba Marondo, Samson Chitalika, Upendo Benson, Samuel Sasali
JE HATUWEZI KUWEKA IMANI ZETU PAMOJA, AKILI ZETU PAMOJA NA KUFANYA KITU HIKI??

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: