To love thy God [Kumpenda Mungu]

https://i1.wp.com/blenheimbible.com/wp-content/uploads/2012/09/Old-New.jpgBiblia Ya Kiingereza Inasema Hivi Kuhusu Kumpenda Mungu:
You Shall Love The Lord Thy God With All Thy Heart, And With All Thy Soul, And With All Thy Mind”
Hiki Kipengele Cha Tatu, “And With All Thy Mind” Ina Maana Kama Unampenda Mungu Kweli Na Unaishi Ndani Ya Mapenzi Yake, Na Unazitegemea Nguvu Zake Na Msaada Wake Kuyaendesha Maisha, Usimpende Mungu Tu Kwa MOYO NA NAFSI YAKO TU Bali Umpende Pia Kwa MIND YAKO!
Kumpenda Mungu Kwa MIND Yako Kwa Lugha Rahisi Ni Kuamua KUKWEPA NA KUTOLISHA MIND YAKO CHOCHOTE AMBACHO HAKINA USHAHIDI WA NENO LA MUNGU AU HAKIKUBALIANI NA MAANDIKO YAKE MATAKATIFU, HAIJALISHI NANI KAKIANDIKA AU NANI KAKISEMA, KAMA HAKIKUBALIANI NA NENO LA MUNGU NI FAKE…. Ni Kujiwekea Msimamo Wa KUTOANGALIA CHOCHOTE KISICHOKUWA NA MSINGI WA KIMAANDIKO NA NENO LA MUNGU [Iwe Movie, Series, Etc]… Huku Ndiko Kunaitwa “TO LOVE THY GOD WITH THY MIND”
Usiku Mwema.
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: