UMEOLEWA NA UNAITAKA NDOA YAKO??

HAKUNA MJADALA, “MME NI KICHWA KWAKO”

https://i2.wp.com/www.ynaija.com/wp-content/uploads/2012/11/young-african-American-couple-fighting-picture-for-website.jpg

Mme ni Kichwa cha Familia

“Mme Ni Kichwa Cha Mkewe… Hata Kama Kichwa Hakina Akili Bado Ni Kichwa, Na Unavyojaribu Kupangua NAFASI YAKE Unadhihirisha Usivyo Na Akili Zaidi Kwa Kukubali Kuolewa Na Mjinga… Umeshaolewa, Umegundua Ni Mjinga, Ishi Naye Kwa Akili Na Msaidie Kujua Nafasi Yake Na Muache Akae Kwenye Nafasi Yake”

 

Lazima Ujue Kwamba MMEO NI KIONGOZI WAKO, Haijalishi Uko SMART KIASI GANI, Mme Anabaki Kuwa Mme… Hata Ukiwa Rais Wa Nchi, Ukirudi Nyumbani UNAKUWA MKE WA MTU; Hapo Elimu, Nafasi, Cheo, Umaarufu Havifanyi Kazi.

Ukijikanyaga tu; BOMU LINALIPUKA… “Huwezi Kuwa Na Hekima Kuliko Mungu Aliyeanzisha Ndoa”

Mwl D.C.K

dicoka@rocketmail.com

MWALIMU IN REVIEW.

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “UMEOLEWA NA UNAITAKA NDOA YAKO??
  1. Onlne Bet says:

    What a stuff of un-ambiguity and preserveness of valuable know-how regarding unexpected feelings.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: