UNATAKA KUPONYWA??

https://i2.wp.com/www.jonahministries.com.au/attachments/Image/jesus_heals__15132016.jpg
Je Unaumwa Au Una Ndugu Yako Anayeumwa?
Je Unaichukia Hiyo Hali Na Ungependa Yesu Kristo Akuponye Hapo Kwa Hapo Na SASA??
“Mwenyewe [Yesu Kristo] Aliutwaa Udhaifu, Na Kuyachukua Magonjwa Yetu” (Mathayo 8:16-17).
Nataka Kuthibitisha KWA VITENDO NA UHALISI Kwamba Ni Kweli “YESU KRISTO ALIYATWAA MADHAIFU NA MAGONJWA YETU”
Nikiwa Kama Shahidi Wake, Kwa Nguvu Zake Nilizonazo Katika Roho Mtakatifu (Mdo 1:8), Nataka Kuthibitisha Kwamba “YESU KRISTO NI YEYE YULE JANA, LEO NA HATA MILELE” (Waebrania 13:8).
Swali langu Na La Yesu Kwako Ni Rahisi, Ni Lilelile Alilomuuliza Yule Aliyekuwa Amepooza Kwa Miaka 38, “JE WATAKA KUWA MZIMA??” (Yohana 5:6).
Kama Unataka Kuwa Mzima, Yesu Naye Anataka (Mathayo 8:1-3).
Isikusumbue Kwamba Ni UKIMWI, KANSA, KISUKARI, BP, MATATIZO YA MOYO, FIGO, KUTOWEZA KUSIMAMA NA KUTEMBEA, KUPOOZA AU TATIZO LOLOTE LILE… Haimpi Shida Yesu, Hiyo Ni Kesi ndogo Kwake, LAZIMA UPONYWE SASA NA LEO HII!!
#MfungowaMathayo
Nipigie Sasa:
+255 655 466 675

Tafadhali wewe unayefaidika na mafundisho haya, Tuma sadaka yako kwa ajili ya HUDUMA TULIYONAYO MKOANI TABORA, MWEZI UJAO WA 4, TAR 16-21.
Tutakuwa na Timu Ya Watu 50 Na Inahitajika Milioni 8, Shirikiana nasi kwa hicho kidogo ulichopewa na Mungu.
Tuma Sadaka yako kwa Mhazini:
Eng Martha Shitindi
M-PESA: 0754 711 519

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: