Salamu toka Mwanza

Upako Bila TABIA YA MUNGU NDANI (Character) Ni Sawa Na Ile Ya “Mwanamke Mzuri Asiye Na Akili Anayefananishwa Na Kumvika Nguruwe Pete Ya Dhahabu Puani” (Mithali 11:22).
MTU MWENYE TABIA YA MUNGU (Aliyegeuzwa Na Kufanywa Upya Kwa Neno La Mungu) Ni BORA MARA BILIONI Hata Kama Hawezi Kuombea Mtu Mwenye Mafua Kuliko ANAYETOA PEPO, KUFANYA MIUJIZA Endapo JINA LAKE HALIJAANDIKWA MBINGUNI…”Msifurahi Kwa Vile Pepo Wanawatii, Bali Furahini Kwa Sababu Majina Yenu Yameandikwa Kwenye KITABU CHA UZIMA”
Kumbuka, “WENGI WATAKUJA SIKU ILE NA KUSEMA, KWA JINA LAKO [YESU] TULITOA PEPO, KWA JINA LAKO TULIFANYA MIUJIZA MINGI, Na YESU Atawajibu ONDOKENI KWANGU SIKUWAJUA”
MIUJIZA Inaweza Kutokea Kwa Sababu Ya “JINA LA YESU” Na “IMANI YA MWENYE TATIZO” Hata Kama “Mtumishi Ana PANCHA”
Kuwa Makini Hap, USIJE KUKWAMA!
“MTI MWEMA HUJULIKANA KWA MATUNDA YAKE” Na Si Vinginevyo!!
WAHUBIRI WENYE VIPAWA BILA CHARACTER WAMEWAUMIZA WENGI… HATUWEZI KUENDELEA KUJENGA JUU YA MAKOSA YAO.
Salamu Kutoka Mwanza,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: