ulimwengu wa roho :SALAMU TOKA MWANZA

Naendelea Na Semina Huku Mwanza, Yesu Ni Mwema Na Tunaufurahia Wema Wa BWANA YESU.
Kanisa Liko Mkolani- Nyahingi HHC Alive Kwa Mchungaji Dominick Kamuhanda.
Wale Wa Mwanza Karibu Tusalimiane Na Kujifunza Pamoja Neno La Mungu.
Ijumaa Mpaka Jumapili Tulikuwa Tukijifunza Kuhusu “MAMBO YALIYOTOKEA KWENYE ULIMWENGU WA ROHO TULIPOFANYA UAMUZI WA KUOKOKA NA KUMPOKEA YESU KRSITO KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU”
Leo Jumatatu Tunaanza Kujifunza Kuhusu “ROHO MTAKATIFU, UHALISI WAKE, KAZI ZAKE KATIKA MAISHA YA MWAMINI, SEHEMU YAKE KATIKA UIMARA WA KANISA, KULIONGEZA KANISA, VIPAWA NA KARAMA ZAKE, TUNDA LA ROHO NA MENGINE MENGI”
Nikukaribishe Wewe Uliye Mwanza,
Ni Kila Saa 10:00 Jioni Mpaka 12:30
Karibu Sana.
Salamu Toka Mwanza,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: