Unataka kazi ..

Kazi

Unataka Kazi Kwa Mungu, Yaani Unaomba Mungu Akupe Kazi, Lakini Mungu Akiangalia, Anaona Hiyo Kazi Itakufanya Uwe BUSY Na Usiwe Na Muda Nae Na Itakufanya Uporomoke Kiroho Na Kurudi Nyuma Kiimani, Hakika Hiyo Kazi Mungu Hatakupa Kwakuwa Anathamini Uzima Wa Roho Yako Kuliko Mkate Wako Wa Siku.
Kama Umeitwa Kazini Au Tayari Umepata Kazi lakini Imekufanya Uwe Mbali Na Mungu, Ni Maombi Yangu Kwa Mungu, Akunyanganye Hiyo Kazi Au Akupe Hekima Ya Kuweza Kutenga Muda Wa Kukaa Naye Hata Baada Ya Muda Wa Kazi… Lakini kama Umekosa Hekima Ya Kutafuta Muda Wako Wa Faragha Na Mungu, Na Hali Yako Ya Kiroho Inaporomoka, MUNGU AKUNYANG’ANYE HIYO KAZI MWEZI HUU NA MWAKA HUU, KATIKA JINA LA YESU KRISTO ALIYE HAI!!!
“Itamfaidia Nini Mtu Akiupata Ulimwengu Wote Na Kuipoteza NAFSI YAKE YA THAMANI?? Au Mtu Atatoa Nini Badala Ya Nafsi Yake??” (Marko 8:36-37).
Tukumbuke Maneno Haya Ya Yesu, “Jicho Lako Likikukosesha Ling’oe Na Kulitupa, Ni Bora Kuingia Mbinguni Ukiwa Chongo Kuliko Kutupwa Jehanamu Ukiwa Na Macho Yote”
“NI BORA KUINGIA MBINGUNI KAMA MASIKINI LAZARO KULIKO KWENDA KUZIMU UKIWA TAJIRI KAMA YULE TAJIRI ALIYEMTESA LAZARO” (Luka 16:19-33).
Salamu Toka Mwanza,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: