Wa Kwanza watakua wa mwisho..

WA KWANZA WATAKUWA WA MWISHO NA WA MWISHO WATAKUWA WA KWANZA”
SALAMU TOKA MWANZA:

Kauli Ya Yesu Kwamba “WENGI WALIO WA KWANZA WATAKUWA WA MWISHO NA WALIO WA MWISHO WATAKUWA WA KWANZA” Haina Maana Kwamba “KWA MUNGU KUNA FOLENI” Bali Ina Maana Kwamba, “WALE WAKRISTO WALIOOKOKA ZAMANI HALAFU HAWAKAZANI KUZAA MATUNDA YAPASAYO TOBA BALI WAKO BUSY KUJISIFIA MIAKA WALIYONAYO KWENYE WOKOVU” Hao Muda Si Mrefu “WATAPITWA NA WAKRISTO WAPYA WANAOOKOKA LEO, WIKI IJAYO, MWAKA UJAO NAKADHALIKA LAKINI WAKIWA WAMEGEUKA KWELIKWELI NA WAMEMAANISHA KUWA KIELELEZO KATIKA MATENDO NA USEMI”
Baada Ya Muda Utashangaa, “WALIOOKOKA MIAKA 30, 20, 10, 6, 3 ILIYOPITA WAKO NYUMA KIROHO KULIKO WAKRISTO WACHANGA WALIOOKOKA MIEZI SITA TU ILIYOPITA LAKINI WENYE BIDII KATIKA MUNGU NA MAARIFA YAKE”
Wokovu Haupimwi Kwa Miaka Au Umri Ulionao Tangu Umeokoka Bali Unapimwa Na Ukomavu Wako Katika Imani Na Kuzijua Kwako “SIRI ZA UFALME WA MBINGUNI”
“AJIDHANIAYE YA KWAMBA AMESIMAMA NA AANGALIE ASIANGUKE”
Yesu Kristo Alisema, “MAKAHABA NA WATOZA USHURU WATAWATANGULIA KUINGIA KATIKA UFALME WA MUNGU”
Wewe Linga Na Miaka Yako Ya Wokovu Wakati Unajua NI MCHOVU KIROHO… Wewe Tamba Na Miaka Yako Kwenye Utumishi Ilihali KUNA DHAMBI ZA SIRI UNAZIFANYA NYUMA YA CARPET… Wewe Jigambe Na Miaka Yako Kwenye Wokovu Wakati HAUZAI MATUNDA YAPASAYO TOBA… “NI HERI UNGEGEUKA LEO NA KUZIACHA NJIA ZAKO MBAYA”
Salamu Kutoka Mwanza,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: