Zaka

Zaka

Fungu La Kumi [Zaka] Haimnufaishi Mungu Bali Mtoaji… Kama Mungu Angehitaji Kunufaika Na Sadaka Hii, Angetuamuru Tumpe Fungu La Tisini [90%] Halafu Sisi Tubaki Na 10% Ya Kile Tulichozalisha Au Kupata… Hiyo 10% Ni Kiwango Cha Chini Alichoweka Mungu Kupima NAFASI YAKE KWAKO, THAMANI YAKE KWAKO NA UPENDO WAKO KWAKE… Ndio Maana Haijazuiliwa Kutoa Zaidi Ya 10% Ila Imezuiliwa Kutoa Pungufu Ya 10%…. Wakristo Waliokomaa Kwenye USHIRIKA NA MUNGU Wanatoa Hata Zaidi Ya 10% Kwa Vile Wanatoa Si Kwa Jicho La SHERIA Bali KWA MOYO WA KUPENDA!! Mungu Ana Kila Kitu Tayari, Kutoa Au Kutotoa Kwako ZAKA Hakumuathiri Ila Kunamuathiri Mtoaji… Mungu Hahitaji Kufungulia Madirisha Ya Mbinguni, Wala Hahitaji Mzabibu Wake Kulindwa Usipukutishe Matunda Kabla Ya Muda Wake, Wala Hahitaji Kubarikiwa Ili Aitwe Na Mataifa Yote Heri Wala Hahitaji Ulinzi Ili Alaye Asile Mali Zake… Kutoa Au Kutotoa Kwako Ni Kwa Faida Au Hasara Yako!!! Salamu Kutoka Mwanza, Mwl D.C.K dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: