Furaha na Amani

Mtatoka Kwa Furaha,
Mtaongozwa Kwa Amani,
Milima Na Vilima Vitaimba Mbele Zenu,
Na Kila Mti Wa Kondeni Utawapigia Makofi.
(Isaya 55:12).

SOMO:
Kama Umeokoka, USITHUBUTU KUTOKA [Kwenda Kufanya Chochote, Au Lolote Kwenye Maisha, Liwe La Kiroho Au Kiuchumi] Mpaka UMEHAKIKISHA Una “FURAHA NA AMANI KATIKA ROHO MTAKATIFU” (Warumi 14:17).
FURAHA NA AMANI YA ROHO MTAKATIFU Ndicho Kipimo Cha KWANZA NA CHAMUHIMU SANA Ili Kujua Kama MUNGU ANAKUBALIANA NA WEWE KWENYE JAMBO AU LA!!
Biblia Inasema, “NA AMANI YA KRISTO IAMUE MOYONI MWENU…” (Wakolosai 3:15).
AMANI NA FURAHA “NI VIWANGO VINAVYOTUMIKA KUPIMA NDIYO AU HAPANA YA MUNGU KWENYE JAMBO LOLOTE UNALOTAKA KUFANYA”
Kama Umemwambia Mungu Kitu KWENYE MAOMBI “Kabla Ya Kukifanya” Halafu Ghafla Ukasikia KUKOSA AMANI NA FURAHA, Usidhani Ni Shetani Anataka Kukuzuia, Bali UJUE “MUNGU ANASEMA SIENDI NA WEWE, NA SIKO KATIKA HILO”
Watu Tuliookoka TUNATOKA KWA FURAHA [Bila Furaha Ya BWANA Ndani Yetu, HATUTHUBUTU KUTOKA PEKE YETU] Lakini Pia TUNAONGOZWA NA AMANI…. Kama AMANI HAKUNA, Usitoke Maana HAUNA UONGOZI… AMANI YA KIUNGU Ndiyo KIONGOZI WETU Kwenye LOLOTE TUNALOTAKA KUFANYA!!

Tukiyazingatia Haya:
KILA MLIMA NA KILIMA MBELE YETU KITAJISALIMISHA NA KUANZA KUKUIMBIA NYIMBO.
KILA MTI WA KONDENI [KILA MWANADAMU DUNIANI] ATAKUPIGIA MAKOFI [UTAKUWA CELEBRATE].
Salamu Toka Mwanza,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: