HOLINESS (UTAKATIFU)!

Holines
God Is Still Maintaining Holiness… No Compromises… No Excuses… We Must Repent Every Iniquity Deep In Our Inner Man… We Must Not Try To Defend Sin By Using Bible Verses… We Must Tell God About Our Weaknesses And Ask For His Power To Change And Live Pure And Acceptable Life!!!  
Usifiche Dhambi Zako, Mwambie Mungu Kwa Uwazi, Eleza Udhaifu Wako Waziwazi, Usikubali Kukaa Nao, Omba Nguvu Ya Roho Mtakatifu Kukuvusha… Njia Rahisi Ya Kukufanya Uwe Mtakatifu Na Kuvuka Toka Utumwa Wa Dhambi Ni Kukwepa KUTETEA DHAMBI YAKO [Udhaifu Wako] Na Kudhamiria Na Kumlilia Mungu Akutoe Hapo Na Kukupa NGUVU YA KUWA MKAMILIFU!!
UTAKATIFU UNAWEZEKANA, LA SIVYO MUNGU ASINGETWAMBIA TUWE WATAKATIFU, ILHALI ANAJUA HATUWEZI!!!
“Nanyi Mtakuwa Watakatifu Kama Mungu Alivyo Mtakatifu” (1Petro 1:15-16).
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: