Ishike kweli


Uongo Unaweza Kusambaa Kwa Kasi, Na Unaweza Kuwa Maarufu Kwa Muda lakini UKWELI Utabaki Na Utasimama Pale Uongo Utakapochuja… UKWELI Unaweza Kuonekana Kama Umezidiwa Au Kufunikwa Na Uongo Lakini Mwisho Wa Siku UKWELI Utashinda!
Usijenge Msingi Wako Kwenye Uongo, Siku UKWELI Ukishinda UTAPATA AIBU NA FEDHEHA, UTAPOTEZA KILA KITU ULICHOKUSANYA KWA UONGO, UTAPOTEZA HESHIMA, HADHI NA NAFASI YAKO ILYOPATIKANA KWA UONGO… Jenga Msingi Wako Kwenye UKWELI, Hata Kama THAMANI, HESHIMA NA HADHI YAKO Haitaonekana Haraka, Lakini Siku UKWELI UKISHINDA Nawe ULIYEUKUMBATIA Utajulikana Na Kutambulika!!
“ISHIKE KWELI WALA USIIUZE…”
Salamu Toka Mwanza,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: