VITU VINAVYOFANYA MTU AWE NA UCHUNGU NAFSINI

Hasira

1.Maumivu Kutokana:

-Habari Mbaya
-Matukio Mabaya Maishani Mwake
-Kuumizwa Na Watu Wa Karibu Au Ambao Uliwaamini Na Kuwategemea

2.Hasira Iliyolimbikizwa [Iliyokaa Muda Mrefu Bila Kushughulikiwa]
Mtu Mwenye Hasira Ana Kasoro Zifuatazo:
-Hana Upendo Wa Kimungu Ndani Yake, La Sivyo Angeachilia Na Asingehifadhi Maudhi Ndani Yake.
-Hana Nguvu Ya Kusamehe, Angekuwa Anasamehe Haraka, Asingeweza Kurundika Hasira Ambayo Baada Ya Muda Italeta Uchungu Nafsini.
MADHARA YA UCHUNGU NAFSINI:
i)Inapunguza KASI YA MAISHA YA MTU (Isaya 38:15b)
ii)Inafungua Mlango Kwa MAGONJWA Kama BP, Ulcers, Matatizo Ya Moyo, Akili Nakadhalika
iii)Inafungua MLANGO KWA NGUVU ZA GIZA [Mapepo Na Roho Chafu] Yaani INAMPA IBILISI NAFASI (Waefeso 4:27).
iv)Inapunguza UWEZO WA KUFIKIRI NA KUTUMIA AKILI Kufanya MAAMUZI SAHIHI- Maamuzi Mengi yanakuwa yametwaliwa na HASIRA NA UCHUNGU
v)Inafungulia LUGHA CHAFU NA MBAYA TOKA KWA MWENYE UCHUNGU [hasira Au Maumivu], MANENO MAOVU YANAMTOKA KIRAHISI Ambayo Badala Ua Kujenga Yanabomoa, Badala Ya Kubariki Yana Laani (Waefeso 4:29).
“Iweni Na Hasira Lakini Msitende Dhambi; JUA LISICHWE NA UCHUNGU WENU HAUJAWATOKA” (Waefeso 4:26).
“Kwa Maana HASIRA YA MWANADAMU Haitendi HAKI YA MUNGU” (Yakobo 1:20).

DAWA YA UCHUNGU:

1.Mpe Ruhusa Roho Mtakatifu Akusaidie (Yohana 14:16)
2.Mweleze Mungu Kuhusu Matukio Uliyopitia YALIYOKUJERUHI NA KUKUUMIZA Na UOMBE NGUVU YA KUSAMEHE NA KUWAACHILIA WOTE WALIOKUUMIZA
3.Omba ROHO MTAKATIFU ALIMIMINE PENDO LAKE MOYONI MWAKE (Warumi 5:5)
4.JAZA NENO LA MUNGU KWA WINGI NDNI YAKO (Wakolosai 3:16) 

Kazi Ni Kwako,
Salamu Kutoka Mwanza,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: