Tumemaliza Semina:Mwanza

  Tumemaliza Semina Ya Neno La Mungu Huku Mwanza, HHC NYAHINGI MKOLANI, Kwa Ushindi Mkubwa. Tulikuwa Na Semina Ya Baraka Sana Kwa Siku 10.
Na Leo Jumanne Saa 3 Asubuhi Tunaelekea Mkoani Tabora, Kanisa La FPCT Kiloleni Ambako Tutakuwa Na Semina Ya Vijana Wa Kanisa Hilo Wapatao 500… Kuanzia Jumatano Hadi Jumapili Ya Wiki Hii.
Salamu Toka Kwa Mtumishi Mwenzangu Wa Mungu, Na Rafiki Yangu Tuliyenaye Kwenye Hizi Kazi, Mwinjilisti Ibrahim Amas
YESU ATAWAGEUZA VIJANA HAWA NA KUWAFANYA KUWA CHANZO CHA UAMSHO MPYA MKOANI TABORA.
Asante Kwa Upendo Wako Mwingi Kwangu Na Kile Mungu Alichonipa,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

 

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: