Umaskini

Umasikini Ukiondoka Kwenye Akili Hauwezi Kuuona Kwenye Maisha… Pesa Ikionekana Kwenye Mawazo Ya Mtu, Utaiona Hata Kwenye Mifuko Yake.
Ndivyo Iilvyo Kwa Mambo Ya Rohoni Pia, Kama Hayajakaa Kwenye NAFSI [Kiwanda Cha Fikra Na Mawazo] Hayawezi Kuonekana Mwilini.
Usipoteze Muda Kugeuza HALI YAKO YA NJE Wakati HALI YAKO YA NDANI Bado Ni MAHUTUTI… Mabadiliko Yote YANAANZIA NDANI… VITU VINAVYOONEKANA VIMETOKANA NA VITU VISIVYO DHAHIRI!!!
Salamu Toka Mwanza,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: