UPAKO NA MAZIDISHO HADI KWA WAZAO WAKO


Uzuri Kwa Mungu Ni Huu, Ukiwa Na Kiu Ya Kujazwa Na Roho Mtakatifu, Na Ukakubali Kulipa Gharama Ya Kutembea Naye, Kuwa Na Ushirika Naye Na Kuuweka Kando Kila Mzigo Na Kila Dhambi Ikuzingayo Upesi, Kisha Ukautafuta Utakatifu Kwa Bidii, NGUVU YA MUNGU NA UHALISIA WAKE Havitaishia Kwako Tu, Bali VINAWAFUATA HADI WATOTO WAKO… Soma Na Kutafakari Hii:
“KWA MAANA NITAMIMINA MAJI JUU YAKE ALIYE NA KIU [ASIYE NA KIU HAPANA], NA VIJITO VYA MAJI JUU YA MAHALI PAKAVU; NITAMWAGA ROHO YANGU JUU YA WAZAO WAKO, NA BARAKA YANGU JUU YAO UTAKAOWAZAA” (Isaya 44:3).
Biblia Inasema Zaidi Kuhusu WAZAO WA WENYE HAKI:
“HALELUYA. HERI MTU YULE AMCHAYE BWANA, APENDEZWAYE SANA NA MAAGIZO YAKE. WAZAO WAKE WATAKUWA HODARI DUNIANI [HAWATAKUWA GOIGOI NA KUFANYA MAMBO MADOGO MADOGO, BALI WATALETA TOFAUTI KUBWA NA YA WAZI]; KIZAZI CHA WENYE ADILI KITABARIKIWA. NYUMBANI KWAKE KUNA MNA UTAJIRI NA MALI, NA HAKI YAKE YAKAA MILELE” (Zaburi 112:1-3).

Salamu Toka Tabora,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: