UTAKATIFU UNALIPA…

HATA KAMA UNA MAPUNGUFU, USIJITETEE AU KUKUMBATIA DHAMBI… TAFUTA KWA BIDII HUO UTAKATIFU… KUWA MTAKATIFU INAWEZEKANA KABISA!!


“Na Hapo Patakuwa Na Njia Kuu, Na Njia, Nayo Itaitwa NJIA YA UTAKATIFU; Wasio Safi HAWATAPITA Juu Yake; Bali Itakuwa Kwa Ajili Ya Watu Hao; Wasafirio, WAJAPOKUWA WAJINGA HAWATAPOTEA KATIKA NJIA HIYO… Hapo Hapatakuwa Na Simba Wala Mnyama Mkali HATAPANDA JUU YAKE; Hawataonekana hapo; Bali WALIOKOMBOLEWA WATAKWENDA KATIKA NJIA HIYO… Na Wale WALIOKOMBOLEWA NA BWANA Watarudi, Watafika Sayuni Wakiimba; Na FURAHA YA MILELE Itakuwa JUU YA VICHWA VYAO; Nao WATAPATA KICHEKO NA FURAHA, HUZUNI Na KUUGUA [Magonjwa] ZITAKIMBIA” (Isaya 35:8-10).
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: