INJILI YA MANENO MATUPU BILA ROHO MTAKATIFU NA NGUVU ZAKE IFE:Mahali Kokote Wanakoongea Sana Kuhusu Ufalme Wa Mungu Lakini Hakuna NGUVU YA MUNGU [Ya Kuponya, Kufungua Waliofungwa Kujibu Maombi Ya Watu Na Kutatua Changamoto Zao] Wala Hakuna UTUKUFU WA MUNGU [Kujifunua Na Kujidhihirisha Kwa ROHO MTAKATIFU] Mahali Hapo Wanahubiri INJILI NGENI… Injili Ya Ufalme Wa Mungu Si Ya Maneno Matupu Bali Ni Ya UDHHIRISHO, NGUVU NA DALILI ZA ROHO MTAKATIFU… Katika Siku Hizi Za Mwisho, Makanisa Ambayo Yanahubiri THEORY [MANENO MATUPU] Kuhusu YESU AU UFALME WA MUNGU Bila UDHIHIRISHO WA WAZIWAZI WA ROHO MTAKATIFU NA NGUVU ZAKE, Yatakimbiwa Na Huenda Yatabaki Na Waanzilishi Wake Tu.
WATU WAMECHOKA NA MUNGU WA “MANENO MATUPU” Wanataka “WAONJE NA KUUONA WEMA WA BWANA” (Zaburi 34:8),
Watu Wanataka UHALISI WA KAULI YA NENO LA MUNGU YA KUWA “YESU KRISTO NI YEYE YULE, JANA, LEO NA HATA MILELE” (Waebrania 13:8),
Watu Wanataka KUMUONA, KUMGUSA NA KUMHAKIKISHA YESU WA BIBLIA.
Ni Maombi Yangu Kwa Mungu, Kila Kanisa Linalofundisha HEKIMA ZA KIBINADAMU NA MANENO YA KUSHAWISHI WATU Badala Ya INJILI YA YESU NA NGUVU ZAKE HALISI Yapukutike Na Ikiwezekana Yafungwe Kabisa.
Na Ijulikane Wazi Ya Kwamba YESU KRISTO NA ROHO WAKE MTAKATIFU NI HAI NA HALISI.
Salamu Toka Tabora,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: