Kuabudu kwa Roho


Muda Wa Kuabudu Kwa Hisia Badala Ya Roho Zetu Umeisha. Muda Wa Kufundishwa Na Kuelekezwa Na Watu Wanaosema, “MSINIANGALIE MIMI BALI TENDENI NINAYOWAFUNDISHA” Umeisha.
Muda Wa Kwenda Kuabudu “KWA MUNGU ASIYEJULIKANA” Umepita,
ROHO MTAKATIFU Amekuja KUMFUNUA NA KUMTUKUZA Yesu,
ROHO MTAKATIFU Amekuja Kuleta UHALISI NA UTHIBITISHO WA NENO LA MUNGU Lililo Kwenye BIBLIA YAKO.
Alipo ROHO WA MUNGU Hapo Ndipo Palipo Na Uhuru.
“NA NENO LANGU NA KUHUBIRI KWANGU HAKUKUWA KWA MANENO YA HEKIMA YENYE KUSHAWISHI AKILI ZA WATU BALI KWA DALILI ZA ROHO NA ZA NGUVU, ILI IMANI YENU ISIWE KATIKA HEKIMA YA WANADAMU, BALI KATIKA NGUVU ZA MUNGU” (1 Wakorintho 2:4).
Salamu Toka Tabora,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: