Ukiwa Na Maono [Vision]


Lazima Utakuwa Selective [Mchagua chaguaji]… Si Kila Mtu Au Kila Kitu Utakikubali Na Kukipokea, Si Kila Jambo Utafanya… Kama MAMA MJAMZITO Anavyochaguachagua Vyakula Na Vitu Ndivyo Alivyo MBEBA MAONO, Hawezi Kupokea Au Kukubaliana Na Kila Kitu… MBEBA MAONO NI MJAMZITO ALIYEBEBA “MAMBO AMBAYO MBINGU ZINATAMANI KUYAONA YANAKUWA HALISI DUNIANI” Lazima Awe Very Selective!!
Si Kila Mwanamke Unaweza Kumuoa Kwa Vile ANA NENA KWA LUGHA ZA WANADAMU NA ZA MALAIKA, AU ANAOMBA MPAKA ARDHI INATETEMEKA.
Si Kila Mwanaume Unaweza Kuolewa Naye Kwa Vile ANAIMBA TENZI NA ZABURI AU ANAHUBIRI KAMA PAULO.
“PASIPO MAONO WATU HUSHINDWA KUJIZUIA” (Mithali 29:18).
Salamu Toka Tabora,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Ukiwa Na Maono [Vision]
  1. Emmanuel Mwakilembe says:

    Amen mwl.
    Ubarikiwe sana kwa hicho kitu kizuri.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: