Kutomtii Mungu


Shetani Ana NGUVU Ile tu Ambayo WEWE UMEMPA Kwa KUTOMTII MUNGU NA KUTOMPINGA SHETANI.
“Mtiini Mungu. Mpingeni Shetani Naye Atawakimbia” (Yakobo 4:7).
Unaanza UTII KWA MUNGU Unaosababisha NGUVU ZA MUNGU NA ULINZI WAKE Kuachiliwa Kwako Kisha Uamuzi Wako Wa KUTOMHURUMIA SHETANI “Kumpinga” Halafu Yeye Atakuwa Hana Namna Isipokuwa KUKIMBIA Na Kukuachia Wewe Na Maisha Yako.
Watu Wenye USHIRIKA MZURI NA MUNGU Wana UJASIRI KAMA SIMBA (Mithali 28:1) Halafu Ujasiri Huu Unawapelekea KUMPINGA NA KUMFUKUZA SHETANI Ambaye Anazungukazunguka Huku na huku “KAMA SIMBA” Angurumaye Akitafuta Mtu Ili Ammeze (1Petro 5:8).
Shetani Anapaswa Kuwa CHINI YA MIGUU YA MWAMINI (Warumi 16:20).
Salamu toka Tabora,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
2 comments on “Kutomtii Mungu
  1. underson says:

    najitahidi kuishi na mungu wangu kwa ukaribu,lakini najikuta nashindwa na kutenda dhambi ambayo inakuwa inanitesa kwa muda mrefu.pindi napotubu dhambi hiyo najikuta ni mwepesi na mambo yangu yanakuwa yanaenda safi,lakini baada ya kupita siku kadhaa najikuta nimetenda tena hadi sasa nimechoka kutubu mbele za mungu maana naona kila mara ni km nairudia dhambi hiyo,km kutubu nitatubu mpaka lini!.naitaji saana maisha yangu yawe yenye kumjua na kumpendeza mungu ili niweze kuikomboa familia yangu ambayo haisali na wala kumtumikia mungu.nifanye nini ili kuepuka dhambi hii ya uzinzi.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: