KWA WAAJIRIWA TU

Mfanyakazi

“Ukitumika Kwa Uaminifu Kwenye Ndoto ya Mwenzako, Mungu Atakuinua Na Kukupa Neema Uwe Mtu Mkuu”

Yusufu ALITAFSIRI NDOTO YA FARAO Lakini pia Aliwekwa KUTUMIKIA NDOTO YA FARAO Kwa MIAKA 14 [Miaka Saba ya Shibe Na Miaka 7 ya Njaa] Lakini ALIPOMALIZA KUTUMIKIA MIAKA 14 YA NDOTO YA MTU MWINGINE KWA UAMINIFU, MUNGU ALIMHESHIMISHA NA KUMFANYA MKUU HADI WAKATI ANAINGIA KABURINI.
Waajiriwa Wengi WANAFANYIA KAZI “MISHAHARA TU” Na Hawako tayari “KUTUMIKIA NDOTO YA MWAJIRI” Na Kwakuwa WANAKOSA UAMINIFU KWENYE NDOTO YA MTU MWINGINE; MUNGU ANAWANYIMA UWEZO WA KUTUMIKIA NDOTO ZAO BINAFSI, HIVYO WANAFUKUZWA AU KUSTAAFU WAKIWA HAWANA MWELEKEO WA MAISHA NA WANAISHIA KUWA NA MAISHA MABAYA SANA NA MWISHO WA TAABU!
Mwajiriwa, “USIUTUMIKIE MSHAHARA WA MWAJIRI BALI KUSUDI LA MUNGU KWENYE OFISI ALIKOKUWEKA KWA MUDA HUO UTAKAOKUWEPO”
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
3 comments on “KWA WAAJIRIWA TU
  1. Joel Lumala says:

    Amen umenena kweli mtumishi wa Mungu!

  2. Noah says:

    Kwa somo hili, ukilishika na kulizingatia hata ufanisi kazini pia unaongezeka. Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu.

  3. John Matiku says:

    Mtumishi nabarikiwa sana na huduma yako ya Mafundisho Mungu akubariki Usiache kunitumia.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: