KWA WANAOTARAJIA KUOLEWA


“Tunaposema Mdada Ujiandae KWA MAJIRA NA NYAKATI YA KUWA MKE Hatumaanishi Utumie MWILI WAKO Kununua NDOA… Hatumaanishi UOGEE KWENYE MBALAMWEZI ILI KUMVUTIA DAUDI ALIYESAHAU MAJUKUMU YAKE YA KWENDA VITANI [Siku Zote Mwanaume Pekee Anayeweza Kunaswa Kwa Kumpa Mwili Wako Ni Yule Ambaye HANA VISION Au ALIYEPOTEZA MAONO YA MAISHA YAKE; Mwanaume Wa Kweli YUKO BUSY NA MAONO YAKE Na Hana Muda Na WANAWAKE SKETI]… Unapotoa NGONO Kununua NDOA Uwe Tayari Kuishi Na MME Ambaye Pia Ikitokea NYINGINE MPYA Ataitafuna Maana HANA MAONO; PASIPO MAONO WATU HUSHINDWA KUJIZUIA… Ni Hivi, ‘UKIGAWA UKE HAUWEZI KUWA MKE’… NAONGEA NA WATU WAZIMA HAPA… Biblia Inasema, MALI ILIYOKUSANYWA ISIVYO HAKI ITAPOTEA ”
Hekima Ya Mwalimu,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa
3 comments on “KWA WANAOTARAJIA KUOLEWA
  1. JOHN D MATIKU says:

    Mtumishi wa Mungu Mwl. Dick ubarikiwe kwa mafundisho mazuri!! yananipa hatua MUNGU wa mbinguni akubariki na azidi kukuinua kwa huduma hii. Unafanya kazi nzuri sana. Naomba usiache kunitumia masomo yako yamenipa hatua. Ubarikiwe.

  2. rebecca mwanjoba says:

    This is more than FACT

  3. Ikupa Mercy says:

    This revelation is divine Mwalimu Dickson by the Power of the Holy Spirit I will the Virtuous Woman He predestined me before hand in Christ Jesus to be.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: