KWA WAOLEWAJI TU

“Kama Unajua Umeumbwa Kuolewa Na MFALME DAUDI Usifanye KOSA La Kuolewa Na HURIA MHITI Eti Kwa Vile NDIYE ALIYEONESHA NIA… Hatuolewi Na Aliyeonesha Nia Bali ANAYESTAHILI Kuwa Mme Sahihi Wa Maisha… Usisubiri Uolewe Na HURIA Kisha Ndipo Ufanye Bidii KUOGA KWENYE MBLAMWEZI Ili Daudi Akuone Na KUMUUA Huria Kukuchukua… Kama Unajua WEWE NI MWANAMKE WA LEVEL YA DAUDI Usipoteze Muda Kuolewa Na HURIA MHITI Kwa Vile Ana PESA, Ana CARE Kuliko DAUDI, Anatokea FAMILIA BORA, Ama Kwa Vile Ndiye ALIYEJITOKEZA NA UMRI WAKO UMEKWENDA… Pesa Zinatafutika, Maswala Ya Ku- Care Mtu Anaweza Kujifunza, Yeyote Mwenye BIDII Anaweza KUWA FAMILIA BORA [Maisha Ambayo Hakuyapata Utotoni] Na Pia Kuhusu UMRI: Unaolewa Wewe Na Si Miaka Yako… Ufungue Macho Yako Mapema, UMTAZAME DAUDI WAKO Akiwa Bado MACHUNGANI, UKUBALI KULIPA GHARAMA Kupanda Naye Hadi IKULU Halafu UVUMILIVU WAKO Utakuwa REWARDED… Usiwe Na Haraka, HURIA MHITI SI LEVEL YAKO, Hakikisha Unampata DAUDI WAKO; Gharama Ya Kuolewa Na HURIA Ni Kubwa Kuliko Ya Kumngoja DAUDI WAKO Anapobadilika Toka UCHUNGA KONDOO Hadi Kuwa MFALME WA ISRAELI”
Ewe Sikio La Kufa, Sikia Dawa Katika Jina La Yesu.
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: