KWA WENYE MPANGO WA KUOLEWA

https://i1.wp.com/farm4.staticflickr.com/3431/3892949064_f627556b0e_b.jpg

“Hivi Mnajua Kwamba UA Halina AKILI WALA UFAHAMU Kama Ulionao Binti? Lakini Mbali Ya Hayo, KILA UA Lina Akili Ya ZIADA [Alilolipa Mungu] Kiasi Kwamba LINAJUA NA KUTAMBUA ‘NYAKATI NA MAJIRA’ Ya KUCHANUA Na ‘KUVUTIA NYUKI’ Na Hata Siku Moja HUWEZI KUKUTA LIMECHANUA [Kabla Ya Wakati Wake; Kama MLIVYOFANYA NA MNAVYOENDELEA KUFANYA WENGI WENU]… UKICHANUA [Ukiachia] Kabla Ya MUDA WAKE Inaonesha HUJUI NYAKATI NA MAJIRA… Lakini Pia UKIFIKA MUDA WA KUCHANUA Lakini Wewe BADO HUJAKAA MKAO WA KUWA MKE Itakugharibu MSIMU NA MAJIRA YAKIPITA… Jifunze KUTAMBUA MAJIRA NA NYAKATI Eee Binti Yangu, USICHANUE KABLA YA MUDA WAKO: Nyuki Watakuja Na WATAKUTUMIA VIBAYA… Lakini Pia USIPOJIANDAA KWA AJILI YA MUDA WA KUCHANUA; Nyuki HAWATAKUJA Na Msimu Ukiisha Umeisha… USICHANUE KABLA YA MUDA WALA USIPOTEZE MAJIRA NA MSIMU WA KUCHANUA… Biblia Inatuambia, ‘MUNGU AMEKIFANYA KILA KITU KUWA CHEMA NDANI YA MUDA WAKE’…. Lakini Pia, ‘KWA KILA JAMBO KUNA MAJIRA, NA WAKATI KWA KILA KUSUDI CHINI YA MBINGU… Naongelea MAJIRA NA NYAKATI”
Ufunguo:
UA: Wewe Dada
NYUKI: Wana Wa Kiume
KUCHANUA: Kukaa Mkao Unaovutia NYUKI
Hekima Ya Mwalimu,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: