Mke Mwema

Mke mwema

MITHALI 31
“Mke Mwema Nani Awezaye Kumuona??”
JIBU: “Mme Mwema Anaweza Kumuona”
Kuna Akina Dada WALIOJITAMBUA NA KUJIPANGA KIROHO, KIAKILI, KIUCHUMI Nakadhalika Kiasi Kwamba “WANAUME NJAA” Wanaogopa Hata Kuwasalimia.
NDEGE WA AINA MOJA HURUKA PAMOJA… UNATAKAJE MKE WA MITHALI 31 Wakati Wewe Hujajipanga Kuwa BABA WA MITHALI 19:14??
Namaanisha “MWANAUME WA KWELI” Aliyejipanga “KUWARITHISHA WANAE [WA KIKE NA WA KIUME] NYUMBA NA MALI”
Si Mwanaume HANA BALANCE: Yuko Kiroho Vizuri Lakini MCHOVU Kwenye MAISHA,
Au Yuko Vizuri Kwenye MAISHA Halafu MZIGO Kwenye MAMBO YA ROHONI.
Mwanaume Wa Kumuoa MKE WA MITHALI 31 Lazima Na Yeye AWE KICHWA KWELIKWELI Kiasi Kwamba MKE NA WOTE WANAOWATAZAMA Waone Na Kujua Waziwazi Kwamba “CHUMA HUNOA CHUMA” (Mithali 27:17).
Unatakaje MKE WA MITHALI 31 Wakati Wewe UPO UPO TU??
Kwenda Hukoo….
Hekima Ya Mwalimu,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa
One comment on “Mke Mwema
  1. Elisha Daudi says:

    Mungu akubariki mwl kwa hekima zako, kwel Mungu anisaidie kuwa kichwa na mume bora wa baadae!

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: