Pombe

Pombe

Pombe

“Ni Rahisi Kutetea Unywaji Wa Pombe Tena Kwa Mistari Ya Biblia, Ilhali MOYO WAKO UNAKUHUKUMU… Mwingine Anasema Pombe Inatokana Na Vitu Asili Vilivyotengenezwa Na Mungu Hivyo Si Dhambi… Lakini Je, MBONA UZINZI NI DHAMBI JAPO UNAFANYWA NA MWANAUME NA MWANAMKE KAMA MUNGU ALIVYOKUSUDIA MWANZO?…Swala Si Asili Ya Mambo, Swala Ni UTARATIBU ALIOWEKA MUNGU ALIYEUMBA ASILI… Mungu Ametuwekea MIOYONI MWETU Uwezo Wa kujua JEMA NA BAYA… Hakuna ANAYEKUNYWA POMBE ASIYEHUKUMIWA MOYONI; Wote Wanajua WAKO KINYUME NA MUNGU… Ni Sawa Na Mzinzi, Anajua Kuzini Au Uasherati Ni Dhambi, Lakini Kwa Vile AMESHINDWA KUACHA Anaamua Kutengeneza NAMNA YA KUILINDA DHAMBI… Kuilinda Dhambi Ni Sawa Na KUNYWA SUMU INAYOUA TARATIBU… Hautaanguka Na Kufa Papo Kwa Papo Lakini KUFA UTAKUFA HAKIKA… KAMA UNASUMBUKA NA POMBE NA ULEVI NA UMEJARIBU KUACHA BILA MAFANIKIO…Naweza Kukusaidia”

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Pombe
  1. Mary Mushi says:

    Wazazi wangu ndo wamekua na tatizo la kutoacha kunywa pombe na kuuza mwalimu Nataman unisaidie kwa Hili

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: