FUNGUKA

Utajiri/Umasikini ni juu yako

Utajiri/Umasikini ni juu yako

Biblia Inasema, “Yesu Kristo Kwa Neema Yake, ALIFANYIKA MASIKINI Ili Sisi (WALIOOKOLEWA) Kupitia UMASIKINI WAKE Tupate Kufanyika MATAJIRI” (2Wakorintho 8:9).
SASA
Nilipokuwa Nasoma Habari Za Kuzaliwa Kwa Yesu, Nikakutana Na Wale MAMAJUSI Ambao Siku Ya BIRTHDAY Yake Walimletea DHAHABU, UVUMBA NA MANEMANE.
Halafu Nikawaza, Ikiwa “MASIKINI-YESU” Alipewa Vyote Hivyo Kama Zawadi Ya Birthday, Je Sisi ALIOTUTENGENEZEA UTAJIRI Kwa Umasikini Wake TUTAKUWAJE??

Ukiamua Kuwa Masikini Umeamua, Kwenye Msalaba Wa Yesu Umasikini Umeshughulikiwa Kama Ilivyokuwa Kwa DHAMBI, SHETANI NA MAGONWA… Damu Iliyokomesha Utemi Wa Dhambi Ni Hiyohiyo Imemaliza Utawala Wa Umasikini… Lakini Ili Hayo Yatokee Kwako Unapaswa Kujifungua Kwenye MAFUNDISHO YALE ULIYOPOKEA “KULE” Yanayokufanya Kuwa Mkristo ASIYE NA BALANCE… Yale Mafundisho Ya “UTAJIRI NI MBAYA UTAKUFANYA USIINGIE MBINGUNI”… MAFUNDISHO MANYONGE!!
Amka Wewe Usinziaye,
Jaa Yesu, Fikiri Kwa Upeo Na Akili Ya Kifalme Na Kikuhani, Halafu Utakuwa MTAKATIFU SANA NA MKAMILIFU KULIKO AYUBU NA BADO UTAKUWA TAJIRI SANA KAMA IBRAHIMU: Katika FEDHA, DHAHABU NA MIFUGO (Mwanzo 13:1-2).
WOKOVU WA KUOMBA OMBA SI WA BIBLIA NINAYOSOMA MIMI.
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
2 comments on “FUNGUKA
  1. Amen Ninabarikiwa sana na haya mafundisho.

    As you have said tatizo lipo kwenye mafundisho tuliyopewa tangu uchanga wetu wa kiroho hata kimwili Eti Utajiri ni dhambi na Umaskini ni utakatifu, kwa kutazama mfano wa kwenye Biblia unaozungumzia Tajiri na Lazaro.

    Mwishoo watoto wanaulizwa ungependa kuwa kama Tajiri au Lazaro, kwa sauti kuuuubwa watoto Huujibu Laaaaaaaazaro wakijua kuwa maskini kama Lazaro ndo UTAKATIFU…

    IBRAHIM MWAKAPOLA-ARUSHA.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: