INAWEZEKANA… DHAMBI KUBWA NA NDOGO?

Dhambi

Dhambi

“NimewasikiaWatuWakisema Kuna DhambiNdogo Na Kubwa… KwenyeBibliaSijaionaHiyo… Ila Inawezekana… Inawezekana Kwa MantikiIfuatayo: HATAMAKABURINIHAKUNAWAFU WA AINA NA UMRIMMOJA… KUNAWATUWAZIMA NA WADOGOMAKABURINI… KUNAWANAUME NA WANAWAKEMAKABURINI… NI AINA TOFAUTI YA MAREHEMU, WENYE AINA TOFAUTI YA SABABU ZA VIFOVYAO, LAKINIBADOWOTEWAKOMAKABURINI… NDIVYOILIVYOKWADHAMBI, ZIKO ZA AINA TOFAUTI, NA ZIKO ZA UKUBWA AU KIWANGOTOFAUTIMBELE YA WANADAMU… Lakini, MBELE ZA MUNGU… DHAMBIZOTEZINA

MSHAHARA MMOJA… MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI… NI KWA SABABU DHAMBI INATENDWA NA ROHO, MAANA DHAMBI NI KITU CHA ROHONI [NGUVU YA UASI DHIDI YA MUNGU]… MUNGU ANAUHUKUMU UASI [DHAMBI] NA HAIJALISHI NI MKUBWA AU MDOGO KIASI GANI… HATA WANADAMU WANAJUA KWAMBA MSHAHARA WA UBAKAJI [Hasa kwa Tanzania] NI MIAKA 30 [Kwa Mujibu Wa Sheria] BILA KUJALI MBAKAJI MMOJA NA MWINGINE WAMETUMIA DAKIKA AU MASAA MANGAPI [Tofauti Ya Kiwango Cha Muda Au Madhara Haigeuzi HUKUMU ILIYOAMRIWA]…NDIVYO ILIVYO KWA DHAMBI; MSHAHARA WAKE NI MAUTI TU KWA WOTE… ILA MTENDA DHAMBI ANAWEZA KUGEUKA NA AKAKIRI DHAMBI YAKE WAZIWAZI MBELE ZA MUNGU, DHAMBI YAKE IKAFUTWA [KWA GHARAMA ALIYOKWISHAKULIPA YESU] NA KISHA KUWEKWA HURU KWELIKWELI MBALI NA HUKUMU”
Mwl. D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: