SIPATI PICHA

“Mapepo Yalivyo Makatili Na Majeuri Kwa Wanadamu Na Yasivyowapenda, Yanawafuata Huku Duniani Na Kuwachinja, Kuwaibia Na Kuwaharibu… SIPATI PICHA Kwa Atakayepata FURSA Ya Kwenda KUZIMU [Nyumbani Kwao Walikotupwa Wakisubiria Hukumu Ya Mwisho] ATAKUWA NA WAKATI MGUMU SANA SANA SANA… Tiketi Ya Kwenda Huko Ni Rahisi, DHAMBI… Ukiwa BINGWA WA KUTENDA DHAMBI Hakika Una Uhakika Wa Kupata Burudani Nzuri Na Ya Kukutosha Kuzimu… Cheza Na Vyote, Usicheze Na Umilele Wako… Na Iwapo Mtu Hakuonekana Ameandikwa Kwenye KITABU CHA UZIMA Alitupiwa Katika ZIWA LA MOTO… Heri Ni Wale WAZIFUAO NGUO ZAO Ili WAWE NA AMRI KUUINGIA MJI WA UZIMA”
Unasoma Ujumbe Huu, Mungu Anasema Na Wewe, Usipotee Milele.
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
2 comments on “SIPATI PICHA
  1. geofrey says:

    Mungu nisaidie! nijaze roho wako mt! anisaidie kushinda dhambi!

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: