KWA WAOAJI NA WAOLEWAJI

MWANAMKE ANAYESUBIRIA VYA MME WAKE, ANA MATATIZO [MITH. 31:10-31].

“Inawezekana Wewe Ni Binti Haujaolewa, Na MWAMINI [Unamwamini Yesu Na Biblia] Lakini Cha Ajabu HAUJISHUGHULISHI KUWA NA UCHUMI MZURI… Yaani Umekaa kaa tu [Kama Golikipa Wa Timu Isiyoshambuliwa]… Kwa Kifupi UMEBWETEKA… Unasubiri NDOA IKUKWAMUE [You Are Waiting For Marriage To Redeem You]… Biblia Inatuambia Kwamba MKE MWEMA WA KIBIBLIA, HUFANYA KAZI KWA MIKONO YAKE MWENYEWE, HUWEKA CHAKULA MEZANI, HUWATUNZA WA NYUMBANI KWAKE, KWA HURUMA HUWASAIDIA NA KUWATUNZA WAHITAJI, HUMFANYA MMEWE AITWE HERI… Haya Majukumu Yote YANAONGELEA PESA NA UCHUMI… Mdada, Anza Kufanya Kitu: FANYA HATA KIJIBISHARA CHA KUKUPA SH. ELFU 5 KWA SIKU, CHONGA HATA KITANDA CHAKO NA FENICHA, HAMA KWA WAZAZI ANZA KUJIFUNZA KUJITEGEMEA, NUNUA HATA KIWANJA AU VIWANJA… Wanaume Kiasili [By Nature] WANAWAHESHIMU WANAWAKE WA NAMNA HII; Lakini Ukiwa NA AKILI HII NA UKAWA UNAYATENDA HAYA, HAKUNA MWANAUME ATAKAYEKUSHAWISHI KUTENDA DHAMBI ETI KISA PESA AU MALI MAAANA UNAJUA KUITENGENEZA… Halafu Na Nyie WAOAJI: Unapotaka Kuoa, USIOE MWANAMKE AMBAYE HANA KITU KABISA: HANA IDEAS NA MAONO AU HANA KITU ANAFANYA TAYARI, Huyo ATAKUWA MZIGO… USIOE SURA, USIOE UMBO, USIOE SAUTI, USIOE KWA HURUMA..OA POTENTIAL ALIZONAZO MTU [ALIVYO NAFSINI MWAKE: MTAZAMO NA MFUMO WAKE WA MAISHA]… TUOE NA KUOLEWA KATIKA STANDARD ZA KIBIBLIA”
Hekima Ya Mwalimu,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: