MSALABA


“Unaweza Kuusifia Msalaba Uwezavyo ILA Hauna Chochote Kama HAUMAANISHI Yule Aliyeangikwa JUU YAKE… Hata Wale WANYANG’ANYI WAWILI Walisulubiwa Kwenye Misalaba Lakini HAINA NGUVU… Nguvu Ya Msalaba Haiko Kwenye MTI BALI MTU [Yesu Kristo]… Uamini Msalaba Upendavyo Ili kama MOYONI MWAKO Hauna ALIYEKUFA MSALABANI Hakika UMEPOTEA”
Yesu Kristo Ametoka Msalabani, Yuko Hai Zaidi ya Miaka 2000 Iliyopita.
Msalaba Umebakiza Jina Kama Nyenzo Ya Ukombozi, Ila Hauna Thamani kama MKOMBOZI… Msalaba Unaisha Ila MWENYE MSALABA YU HAI MILELE.

Tuimbe Hii:
Msalabani PA MWOKOZI,
Hapo Niliona Upozi,
AKANIOKOA MPENZI,
MWANA WA WA MUNGU.

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
2 comments on “MSALABA
  1. Elisha Daudi says:

    Shalom Mtumishi wa Bwana nabarikiwa sana na mafundisho unayonitumia kwenye email yangu hii elishadaudi@yahoo.com, yamekuwa baraka sana kwangu, ila kwa sasa nimebadili email natumia hii elishadaudi3@gmail.com. Barikiwa

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: