TAFAKARI HII

think“Ni Rahisi Kumkasirikia Mungu Na Hata Kudhani Kwamba HAJAJIBU UNALOMUOMBA Kumbe Tayari AMEJIBU Ila Kwa NAMNA NYINGINE TENA BORA KULIKO Japo Wewe HUJAONA HILO… Mwanamke Aliyetokwa Na Damu Kwa Miaka 12 Mfululizo, Yeye ALIKUWA AKIMLALAMIKIA MUNGU KWAMBA INAKUWAJE MIAKA YOTE HIYO HAMPONYI JAPO ANAOMBA KWA BIDII??… Lakini Hakuwahi Kujiuliza DAMU INATOKA KILA SIKU; WIKI; MWEZI; MIEZI MIWILI; MIEZI MITATU… MWAKA; MWAKA WA PILI; MWAKA WA TATU… MPAKA MWAKA WA KUMI NA MBILI… Lakini Bado HIYO DAMU HAIKUISHA NA WALA HAKUFA… Inawezekaje LITA TANO ZA DAMU, INAYOVUJA KILA SIKU ISIISHE NA ASIFE?? Huu Ni MUUJIZA… Wakati Yeye Anawaza UPONYAJI, Mungu Alikuwa Anawaza MAISHA… MAISHA NI BORA KULIKO UPONYAJI… Mungu Ana Vipaumbele BORA Kuliko VYETU… Alijibu Ombi Lake KWA KUTUNZA UHAI WAKE KWANZA Halafu UPONYAJI Ukafuata… MTAFAKARI MUNGU KWA JICHO JINGINE LEO… AMEJIBU MAOMBI YAKO MENGI TAYARI”
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: