UNAPOPANGA BAJETI

Bajeti
“Usiombe Mungu Akupe Kile Unachohitaji Kwa Kadri ya Bajeti Yako Au Kwa Kadri ya Uwezo Wako Bali Uombe Akupe Kwa Kadri (Kiwango) Ya Utajiri Wake… Na Mungu Wangu ATAWAJAZENI… KILA MNACHOKIHITAJI…KWA KADRI YA UTAJIRI WAKE”
Mifuko na Bajeti Zetu Zinaogopa HALI HALISI YA UCHUMI, Ila UTAJIRI WA MUNGU Hauangalii HALI YA UCHUMI ILIYOKO MUDA HUO… Nabii Elisha Kwa NENO LA BWANA “ALIGEUZA UCHUMI WA NCHI NDANI YA MASAA 24 TU” Aliyeangalia Mazingira Na Kutumia Ujuzi na Maarifa Ya Kibinadamu “AKAISHIA KUONA LAKINI HAKULA” (2Wafalme 6 Na 7).
Jizoeze Kumwangalia Na Kumwamini Mungu Kuyatunza Maisha Yako,
Unapokuwa RAIA WA MBINGUNI; Supply Yako Haitoki Serikali Ya Nchi Yako tu [Kama Binadamu] Bali Pia Inatoka Kwenye UFALME WA MBINGUNI Ambako Wewe Ni MWENYEJI, MTU WA NYUMBANI KWA MUNGU (Waefeso 2:19).
Unaweza Kuwa Na Maisha Mazuri HATA JANGWANI Endapo Utaacha Kuiangalia Serikali Na Wanadamu Na Kumwangalia Mungu Kwa Uchumi Wako.
Wake Up.
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: