MIMI NA MUNGU


Mimi na Mungu“Tunajali Na Kuthamini Vitu Vidogo Vya Wengine Lakini SISI [Mimi Na Mungu] Hatufanyi Vitu Vidogo… Tunaweza Kuanza Na Vitu Vidogo [Mfano MIMBA, MBEGU] Lakini Kwenye Akili YETU [Mimi Na Mungu] Tunakuwa TUNAONA MWISHO MKUBWA… Tunaweza Kuwa Na IMANI KAMA CHEMBE YA HARADALI Lakini Kwenye NAFSI YETU [Mimi Na Mungu] Tunakuwa Tunaangalia IMPACT Iliyomo Ndani Ya CHEMBE YA HARADALI Ikishakua Na Kuwa MTI MKUBWA [Itafanya Ndege Wakubwa Kutua Kwenye Matawi Yake Na Wanyama Wakubwa Kupata Kivuli Chini Yake]… Tunapenda Kuwekeza Kwenye MOYO WA MTU NA KILE KILICHOKO NDANI YA MTU [Ambacho Dunia Haijaona] Kuliko KUANGALIA MWONEKANO WA NJE… SISI [Mimi Na Mungu] HATUJUI KUSHINDWA AU KUTOWEZEKANA… Msamiati WETU [Mimi Na Mungu] Ni YOTE YANAWEZAKANA”
HEKIMA IMEJAA NDANI YANGU MPAKA NAKUAMBUKIZA NA WEWE,
Mwalimu D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
One comment on “MIMI NA MUNGU
  1. edson rukaiga says:

    Neno la MUNGU lina nguvu sana. mtumishi kazi yako ni njema sana, endelea kutupatia kadri BWANA anavyokubariki.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: