MTAZAMO WA YESU KUHUSU UMASIKINI

 
Maskini“Masikini Mnao Siku Zote”
Yesu Na Wanafunzi Wake Hawakuwa Masikini… Ila Walijua Kuna Masikini Na Walikuwa Na Utaratibu Wa Kuwasaidia… Siku Yule Mwanamke Kahaba Alipoleta MARHAMU [MANUKATO] YA BEI MBAYA Na Kumpaka Yesu; Wanafunzi Walisema, “Si Bora Ingeuzwa Na Pesa Wakapewa Masikini??”… Kama Wangekuwa Masikini Wangelisema, “Si Bora Ingeuzwa Tukapewa SISI MASIKINI”… Lakini Walielewa TOFAUTI KUBWA Iliyopo KIMAISHA Kati Yao Na Masikini Kiasi Cha Kuwahurumia Na Kuwahudumia.
KUWA MASIKINI SI SAWA KWA MWANAFUNZI WA YESU, UNAPASWA KUWATUNZA MASIKINI NA SI WEWE KUTUNZWA [KUWA MASIKINI]; ILA USIPOAMUA KUUCHUKIA UMASIKINI NA KUFUNGUA AKILI NA UFAHAMU WAKO KUJIKWAMUA NA KUTAFUTA FURSA KWA MSAADA WA MUNGU ALIYEMO NDANI YAKO, UTAKUWA MASIKINI.
Uamuzi Wa Kuwa Masikini Au Tajiri Ni Wako.
Ila Yesu Na Wanafunzi Wake Hawakuwa Masikini Bali Walitunza Masikini.
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: