MY PERSPECTIVE- MAALUM KWA WASOMI


“Usomaji Wa Mtu Anayetaka Kuwa Mhandisi Bora Wa Kompyuta Na Yule
Anayesoma Ili Awe Mmilki Wa Kampuni Bora La Kompyuta Litakaloajiri
Wahandisi Bora Wa Kompyuta Lazima Utakuwa Tofauti… Wakipewa Mtihani Wa
Kompyuta, Yule Anayesoma Kuwa Mhandisi Bora Wa Kompyuta Atamzidi Tena
Kwa Mbali Sana Yule Mwenye MAONO Ya Kuwa Mmilki Wa Kampuni Ya Kompyuta
Itakayoajiri Wahandisi Bora Wa
Kompyuta… Ila Baada Ya Miaka 10 Au 15 Mbele, Yule ALIYEKUWA ANAFAULU
MITIHANI YA KOMPYUTA Atakuwa Amekuwa Mhandisi Bora Wa Kompyuta Lakini
Atakuwa MWAJIRIWA [MTUMWA] Wa Yule Aliyekuwa ANAFAULU KWA WASTANI AU
ANAFELI SOMO LA KOMPYUTA Lakini Akiwa NA MAONO YA KUMILKI KAMPUNI YA
KOMPYUTA YA KUWAAJIRI WAHANDISI BORA WA KOMPYUTA… Kwa Ule Muda Wakiwa
WANAFUNZI, Yule Mhandisi Wa Kompyuta Ataonekana Kama Vile Atakuwa Na
BRIGHT FUTURE Kuliko Yule Mwenzake Ambaye Ana MAONO YA KUMILKI KAMPUNI
YA KOMPYUTA… LAKINI… Miaka Kadhaa Mbele Mmoja Atakuwa BOSS Na Yule
ALIYEKUWA MAARUFU DARASANI Atakuwa MFANYAKAZI/ MTUMWA Wake”
Nini Kinakusukuma Kusoma/ Nini Kilikusukuma Kusoma?? Matokeo Ya Mtihani Kwenye Makaratasi Ya Mwalimu Au MAKARATASI YA MAISHA??
LIFE WILL TELL…
Hekima Ya Mwalimu.
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
One comment on “MY PERSPECTIVE- MAALUM KWA WASOMI
  1. Michael Mwingira says:

    Kilichonisukuma kusoma ni matokeo ya mtihani kwenye karatasi la mwalimu.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: